Written by students who passed Immediately available after payment Read online or as PDF Wrong document? Swap it for free 4.6 TrustPilot
logo-home
Document preview thumbnail
Preview 1 out of 4 pages
Exam (elaborations)

JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA HENROK KIDATO CHA NNE – KARATASI YA PILI MUHULA WA TATU -2022 MAKALA YA MAJIBU

Document preview thumbnail
Preview 1 out of 4 pages

3. MATUMIZI YA LUGHA/ SARUFI (ALAMA 40) a) /l/, /r/ (alama 2). b) i. Ala tuli – meno, ufizi, koromeo (alama 2) ii. ala sogezi – midomo, ulimi c) i. Kaburi – LI-YA (alama 1) ii. Marashi – YA-YA d) Alijipelekea (alama 2) a- Kiambishi chanafsi ya tatu umoja Li – kiambishi cha wakati uliopita Ji – kiambishi cha mtendewa Pelek – mzizi e – mnyambuliko/kauli a – kiishio e) i) Pema - kivumishi . (alama 2). ii. Pema – kiwakilishi f) Maliba huandika vyema lakini mwaniki huandika vibaya. (alama 2) g) Rashid alinikimbilia- Alinikimbia kunilaki/ kwa niaba ya. (alama 2) Rashid alinikimbia – Alinitoroka kwenda mbali. h) Wallahi!, Nikimpata Kamau, nitampiga kama burukenge. (alama 3) I T N T H N i) Kuandika tarehe - 20/04/2022 (alama 2) Kutenga shilling na senti - 20/20 Kuonyesha maana ya neno - au/ama j) “Usitoke kwenye lango kuu wakati wowote,” Mwajiru alimwambia bawabu. (alama 3) k) Nampenda mwanamke mwenye papa nyingi. l) Mkulima – kulima/lima Mvuvi – kuvua/vua Safari – kusafiri/safiri m) Kibe – shamirisho kipozi (alama 3) Nyanya – shamirisho kitondo Kifyeki – shamirisho ala

Content preview

JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA HENROK
KIDATO CHA NNE – KARATASI YA PILI
MUHULA WA TATU -2022
MAKALA YA MAJIBU

1. UFAHAMU
a) Mambo yanayolete utangamano.
i. Kuketi nje jioni na kunywa kahawa pamoja.
ii. Kufanya vikao kuwa vya kawaida kuliwawezesha kukutana kila mara.
iii. Kufanya mbadala pamoja kuhusu masuala yaliyowaathiri.
iv. Kuwa na hali sawa, changamoto sawa zilizowazunguka k.v. haja ya
kuboresha matibabu, miundo msingi na makaazi.
v. Kuwa na umoja- Hali ya kujali maendeleo ya nchi yao iliwaleta pamoja.
vi. Kuyadhibiti maingiliano na mazungumzo yao ili kuwa na utaratibu maalum
wa kuyaendesha.
3 x 1 = 3 (Kumbuka hili ni swali la ufasiri mwalimu atathhmini majibu
ya mwanafunzi)

b) Mambo yanayoonyesha kuwa kupata elimu tu hakuwezi kuleta maendeleo.
i) Elimu nadharia huwa haisaidii – Elimu ikidhi haja za watu.
ii) Elimu isipotumiwa kuzalisha mapato viwandani.
iii) Elimu isaidie kuzalisha huduma na bidhaa. 2×1=2

c) Uhusiano kati ya nguzo mbalimbali za maendeleo.
i) Afya na viwanda – watu wanaweza tu kazi wakiwa na afya.
ii) Viwanda na miundomsingo – bidhaa huweza kufika na kutoka mahali mbalimbali.
iii) Makao ya watu na wafanyikazi.
iv) Elimu na maarifa. 4x1=4

d) i) Mbwembwe/midundo 3×1=3
ii) Hatua tatu za mzee kujiondokea bila kuaga.
iii) Hoja za sumaku zilizowatetea vijana.
iv) Waledi wa sumaku.

e) Tashhisi/uhuishaji/uhaishaji/uhuishi 1×1=1

f) Tulielimishana/tulitoleana maarifa/tulifunzana

g) Hoja – rai/wazo/fikra/shauri

2. UFUPISHO

a)
i) Binadamu aliumbwa kushirikiana na wenzake.
Asili ya familia ni uumbaji alioufanya Mungu ili wasaidiane.


1|Page

Document information

Uploaded on
November 28, 2022
Number of pages
4
Written in
2022/2023
Type
Exam (elaborations)
Contains
Questions & answers
$12.00

Wrong document? Swap it for free Within 14 days of purchase and before downloading, you can choose a different document. You can simply spend the amount again.
Written by students who passed
Immediately available after payment
Read online or as PDF

Seller avatar
Reputation scores are based on the amount of documents a seller has sold for a fee and the reviews they have received for those documents. There are three levels: Bronze, Silver and Gold. The better the reputation, the more your can rely on the quality of the sellers work.
SIRTHEA
5.0
(1)
Sold
24
Followers
25
Items
617
Last sold
1 year ago


Why students choose Stuvia

Created by fellow students, verified by reviews

Quality you can trust: written by students who passed their tests and reviewed by others who've used these notes.

Didn't get what you expected? Choose another document

No worries! You can instantly pick a different document that better fits what you're looking for.

Pay as you like, start learning right away

No subscription, no commitments. Pay the way you're used to via credit card and download your PDF document instantly.

Student with book image

“Bought, downloaded, and aced it. It really can be that simple.”

Alisha Student

Working on your references?

Create accurate citations in APA, MLA and Harvard with our free citation generator.

Working on your references?

Frequently asked questions