Written by students who passed Immediately available after payment Read online or as PDF Wrong document? Swap it for free 4.6 TrustPilot
logo-home
Summary

Summary MAELEZO YA ISIMU JAMII.

Rating
-
Sold
-
Pages
22
Uploaded on
28-11-2022
Written in
2022/2023

Isimujamii - Ni taaluma inayochunguza uhusianouliopo baina ya lugha na jamii. Hasa hushughulikia jinsi watu wanavyotumia lugha katika jamii. Isimu- ni uchunguzi wa lugha kisayansi. Jamii – ni kundi filani la watu wenye uhusiano fulani. Mambo yanayoshughulikiwa katika isimu jamii i) Tofauti katika lahaja za lugha kama vile Kiswahili cha lamu(kiamu), cha Mombasa(kimvita), cha unguja(kiunguja), cha bara. ii) Tofauti katika matumizi ya lugha baina ya makundi tofauti tofauti katika jamii. Mfano wazee na watoto,vijana na wabunge. iii) Matumizi ya lugha kutegemea miktadha tofauti kama vile kazini, nyumbani, sokoni, n.k. iv) Mtazamo wa watu kuhusu lugha. Je, wanaitukuza au wanaitweza? v) Jinsi mtu anavyotumia lugha kutegemea uhusiano na wazungumzaji au mada husika. vi) Lahaja mbalimbali za lugha ya Kiswahili. Umuhimu wa isimu jamii. i) Huwafunza watu kaida za lugha ili waweze kuitumia ipasavyo kutegemea mila na desturi. ii) Humsaidia mzungumzaji au mwandishi kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha na usahihi. iii) Humpa anayetumia lugha uwezo wa kutambua, kutofautisha na kutumia mitindo mbalimbali ya lugha kutegemea mahitaji. iv) Hufunza maadili ya jamii hasa yanayohusiana na matumizi ya lugha kutegemea uhusiano. Mf. Mtu na mkwewe, mtoto na mzazi, mwajiri na mwajiriwa. v) Hufunza mbinu za mawasiliano pamoja na mbinu za kupata maana kamili. vi) Hudhihirisha utamaduni wa jamii. vii) Humsaidia msemaji au mwandishi kutambua makosa mbalimbali yanayojitokeza wakati wa kuzungumza au kuandika. viii) Hufunza mbinu za kuwaelewa watu tunaotagusana nao kwa kuzingatia mambo k.v hadhi, utamaduni hivyo utangamano. Maana ya mawasiliano. Utaratibu ambao huwawezesha viumbe kupashana ujumbe ambao unahusisha mwasilishi na mpokeaji wa ujumbe. Njia ambazo kwazo mwanadamu huwasiliana. i) Mgusano na ukaribianaji ii) Mavazi iii) Sauti iv) Ishara za mwili. Lugha Ni mfumo wa sauti za nasibu zinazotumiwa na wanadamu katika mawasiliano. Sifa za lugha. i) Hakuna lugha iliyo bora kushinda zingine. –zote ni sawa. ii) Kila lugha ina sifa zake. iii) Lugha hubadilika kutegemea mazingira, aina ya tukio, wakati na matumizi ya lugha hiyo. iv) Lugha ina uwezo kukua, mfano Kiswahili kimebuni msamiati TEHAMA (Teknolojia ya habari na mawasiliano.) v) Lugha pia hufa kwa msamiati wake kupotea n.k Sababu za kufa/kufifia kwa lugha. (i) Lugha moja kusonewa hadhi na isiyoonewa hadhi hufifia. (ii) Sababu za kiuchumi – watu huishi mijini na kuacha lugha ya kwanza. (iii) Lugha kuwa na idadi ndogo ya wazungumzaji. (iv) Ndoa za mseto. FOR FOR MORE NOTES : 5 or 6 (v) Kuhamia kwingine – watu huishi na kuingiliana na kundi jingine. (vi) Mielekeo ya watu – wanapoipendelea lugha moja na kuidharau nyingine. (vii) Kisiasa – Lugha moja kupendelewa kuliko nyingine na viongozi. Umuhimu wa lugha. i) Hutumika kwa mawasiliano. ii) Lugha ni chombo ambacho hutusaidia kujieleza na kutoa mawazo yetu. iii) Hujenga uhusiano baina ya watu. iv) Ni kitambulisho cha taifa, mtu binafsi na utamaduni. v) Lugha ni chemchemi ya uchumi mf. Mtangazaji au mwalimu wa Kiswahili. vi) Huweza kuunganisha watu kama jamii moja. Istilahi za Isimu Jamii Lugha ni mfumo wa sauti unaochangia kw amawasiliano ya kimaeneo. Msimbo - Huwa ni lugha ibuka ya kupanga ill kuficha maana. Misimu - Ni lugha inayozungumzwa na kundi ndogo la watu katika jamii. Hasa huibua misamiati mipya kila . toa chai, dondosha, Diglosia - hali ya kuwa na lugha mbili tofauti katika taifa, zilizo na majukumu tofauti k.m nchini Kenya Kiswahili ni lugha ya taifa, Kiingereza ni lugha ya ofisini/rasmi. Polyglosia – hali ya kuwa na lugha nyingi tofauti(zaidi ya tatu) katika taifa, zilizo na majukumu tofauti. Lahaja ni vilugha ambavyo huzalishwa kutoka katika lugha moja kuu, kwa mfano lahaja za Kiswahili ni kama; kiamu, kipate, kisiu, kijomvu, kimtangata, kiuguja n.k. Lafudhi(accent)

Show more Read less
Institution
KISWAHILI
Course
KISWAHILI










Whoops! We can’t load your doc right now. Try again or contact support.

Written for

Institution
KISWAHILI
Course
KISWAHILI

Document information

Uploaded on
November 28, 2022
Number of pages
22
Written in
2022/2023
Type
SUMMARY

Subjects

$14.99
Get access to the full document:

Wrong document? Swap it for free Within 14 days of purchase and before downloading, you can choose a different document. You can simply spend the amount again.
Written by students who passed
Immediately available after payment
Read online or as PDF

Get to know the seller

Seller avatar
Reputation scores are based on the amount of documents a seller has sold for a fee and the reviews they have received for those documents. There are three levels: Bronze, Silver and Gold. The better the reputation, the more your can rely on the quality of the sellers work.
SIRTHEA Chamberlain College Of Nursing
View profile
Follow You need to be logged in order to follow users or courses
Sold
24
Member since
4 year
Number of followers
24
Documents
610
Last sold
1 year ago
SAGACITY//////////////////////////////////////////

Hi,I'm Sirthea am expert on courses like;Nursing,Law,Psychology,Human Resource Management.I will be providing you with quality study materials everyday.I do ensure scolarly standards in my documents and i assure you a GOOD GRADE if you use my study resources.Please Don't forget to Review after using my resources.Thank You!

5.0

1 reviews

5
1
4
0
3
0
2
0
1
0

Recently viewed by you

Why students choose Stuvia

Created by fellow students, verified by reviews

Quality you can trust: written by students who passed their tests and reviewed by others who've used these notes.

Didn't get what you expected? Choose another document

No worries! You can instantly pick a different document that better fits what you're looking for.

Pay as you like, start learning right away

No subscription, no commitments. Pay the way you're used to via credit card and download your PDF document instantly.

Student with book image

“Bought, downloaded, and aced it. It really can be that simple.”

Alisha Student

Working on your references?

Create accurate citations in APA, MLA and Harvard with our free citation generator.

Working on your references?

Frequently asked questions