JINA:_____________________________________________________
NAMBARI YA MTAHINIWA: ____________________
SAHIHI YA MTAHINIWA_________________
TAREHE:__________________
SHULE______________________________________________________________
102/3
KISWAHILI
KARATASI YA 3
FASIHI
2022
MUDA: 2 ½
SUNRISE 2 EVALUATION EXAMS -
2022
Maagizo
(a) Jibu maswali manne pekee.
(b)Swali la kwanza ni la LAZIMA.
(c) Maswali hayo mengine matatu yachaguliwe kutoka sehemu nne
zilizobaki; yaani: tamthilia, Riwaya, hadithi Fupi, shairi na Fasihi
Simulizi.
(d)Usijibu maswali mawili kutoka sehemu moja.
(e) Majibu yote lazima yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
Page 1 of 7
, SEHEMU A: RIWAYA (CHOZI LA HERI)
Jibu swali la 1 au 2
1. “Kumbe hata mja akafanikiwa vipi kielimu na kitaaluma, maisha yake
huwa ombwe bila mwana, awe wa kuzaa au wa kulea?”
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili (alama 4)
(b) Taja tamathali moja iliotumika katika dondoo (alama 1)
(c) Onyesha ukweli wa kauli hii ukirejelea wahusika wowote watano
riwayani (alama 5)
(d) Fafanua umuhimu wa elimu katika jamii ukirejelea riwaya nzima.
(alama 10)
2. “Una bahati kupata mfadhili, mimi mzazi wangu wa pekee ni mama
ambaye ni muuza samaki na baada ya ule mzozo… biashara imepigwa na
mawimbi makali.”
(a) Eleza muktadha wa dondoo (alama 4)
(b) Jadili jinsi mwandishi alivyoshughulikia maudhui ya ufadhili. (alama 6)
(c) Ukirejelea hadithi zozote tano riwayani, onyesha jinsi mwandishi
alivyotumia mbinu ya hadithi ndani ya hadithi kujenga maudhui.(alama
10)
SEHEMU YA B - FASIHI SIMULIZI
3. Niaje wazungu wanaweza kutunza vitu vikajaa kwenye friji. Yani
nimeweka soda mbili tu kwenye friji lakini haitulii hadi nizinywe.
Niko sebuleni nazunguka tu. Najaribu kuwaza vitu vingine lakini
wapi akili inaniambia “My friend kunywa soda”.
(a) Taja na ueleze maana ya kipera hiki
(alama 4)
(b) Utanzu wa kipera hiki huweza kuchukua nafasi muhimu katika fasihi
simulizi. Thibitisha kwa hoja zozote sita.
(alama 6)
(c) Ufanisi wa uwasilishaji wa utanzu huu unategemea fanani. Tetea
kauli hii.
Page 2 of 7