100% satisfaction guarantee Immediately available after payment Both online and in PDF No strings attached 4.2 TrustPilot
logo-home
Exam (elaborations)

MTIHANI WA KISWAHILI

Rating
-
Sold
-
Pages
13
Grade
A+
Uploaded on
03-11-2022
Written in
2022/2023

MTIHANI WA KISWAHILI

Institution
Course









Whoops! We can’t load your doc right now. Try again or contact support.

Written for

Course

Document information

Uploaded on
November 3, 2022
Number of pages
13
Written in
2022/2023
Type
Exam (elaborations)
Contains
Answers

Subjects

Content preview

Jina …………………………………………………………Nambari yako :…………….…..
……………..
Sahihi ………………..……………..
102/2 Tarehe: ………………………………
KISWAHILI
KARATASI 2
LUGHA
2022
MUDA: SAA 2½

SUNRISE 2 EVALUATION EXAMS - 2022
Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya (K.C.S.E)


102/2
Kiswahili
Karatasi 2

MAAGIZO
 Andika jina lako na namba yako katika nafasi ulioachiwa
hapo juu.
 Jibu maswali yote.
 Andika majibu yako katika nafasi ulizoachiwa katika kijitabu
hiki cha maswali.


KWA MATUMIZI YA MTAHINI PEKEE
SWALI UPEO ALAMA

1 15

2 15

3 40

4 10



Page 1 of 13

, Jumla 80

1. UFAHAMU – (ALAMA 15)


Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuatia.


Takwimu za tafiti za umaskini kila mara huonyesha kuwa bara la Afrika ndilo bara
maskini kabisa kote duniani. Takriban wakaazi kiasi cha asilimia themanini hawawezi
kumudu kutumia dola moja kwa siku. Toka kaskazini hadi kusini. mashariki hadi
magharibi mwa bara, makaazi ya vibanda yametamalaki. Wakaazi wengi hulala njaa
kutokana na ukosefu wa chakula. Watu wa mitaani waliovaa mararuraru wamejaa
katika miji ya bara hili. Swali ni: Je, kwa nini umaskini umeliganda bara la Afrika hivi
mithili ya kupe? Kwa nini bara huselelea katika lindi la uchochole?
Ili kuelewa sababu za umaskini kuganda barani Afrika, yampasa mtu ima fa ima
kurejelea historia ya bara hili. Kwa kipindi cha karne nyingi, Afrika ilidhibitiwa na
walowezi pamoja na mabeberu. Wanawake ambao wangelistwawisha bara hili
kiuchumi walitwaliwa kimabavu na kupelekwa, huku wamefungwa minyororo,
kustawisha uchumi wa mabara mengine. Afrika ikaporwa nguvu ambayo ni rasilmali
kuu katika ustawishaji wa uchumi. La kusikitisha ni kuwa Afrika haikufidiwa kutokana
na wizi huu. Badala yake iliongezewa mizigo mingine.
Baada ya kipindi cha biashara ya utumwa kumalizika, Afrika ilijipata katika janga
jingine. Wakoloni wakaliingilia bara kwa pupa. Wakaligawanya katika koloni
mbalimbali miongoni mwao. Wakaingiwa na wendawazimu kuiba malighafi ya bara
hili. Wakaiba mashamba, madini, miti na chochote cha maana walichokipata. Badala
ya malighafi haya kutumika kunawirisha bara la Afrika, yalitwaliwa kustawisha chumi
za walikotoka wakoloni. Afrika ikaachwa kuzidi kudidimia katika lindi la umaskini.
Wakoloni walipotoka barani Afrika na kuzipa dola nyingi za Afrika ‘uhuru’, waliacha
mkururo wa madhila. Madhila haya hayangeikubalia Afrika kujikomboa kutoka katika
biwi la uchochole. Tatizo la kwanza na kubwa zaidi ni wakoloni kugawanya na
kukatakata Afrika katika mataifa mengi. Mgawanyo huu ukawa haukufuata utaratibu
wowote. Kwa sababu hii, watu wa nasaba moja wakawekwa katika nchi tofauti.
Mathalani , watu wa nasaba ya Kisomali waligawanywa na kuwekwa chini ya nchi huru
ya Somali, wengine chini ya dola la Uhabeshi, huku wengine wakiwa nchini Kenya na
Jibuti. Watu kama hawa hawakutaka mpango huu. Waliokuwa Kenya na Uhabeshi
wakachukua silaha na kupigana ili warejeshwe chini ya himaya moja ya taifa huru la
Somali. Watu kama hawa wakatumia muda mwingi kupigana; muda ambao
ungetumika kuinua Afrika kiuchumi. Mapigano haya ya wenyewe kwa wenyewe
yamekithiri kote katika bara la Afrika.
Halikadhalika, mkoloni hakufanya juhudi zozote za kuanzisha viwanda ambavyo
vingenyanyua uchumi wa Afrika na kuwatoa Waafrika katika biwi la ufukara.
Palipokuwa na ari yoyote ya kuanzisha kiwanda, kilipoanzishwa hakikusaidia Afrika
kiuchumi. Vilikuwa viwanda vya kupunguza zigo la bidhaa na kuzifanya kuwa nyepesi
ili zisafirishwe kwa ajili ya viwanda vya nchi walizotoka wakoloni.
Kwa kipindi cha muda ambao mkoloni amekuwa na maingiliano na wakaazi wa
Afrika, amehakikisha kuwa mwafrika amekuwa mtegemezi wake. Malighafi ya Afrika
Page 2 of 13
R137,09
Get access to the full document:

100% satisfaction guarantee
Immediately available after payment
Both online and in PDF
No strings attached

Get to know the seller
Seller avatar
Mwombe

Document also available in package deal

Get to know the seller

Seller avatar
Mwombe Optpass Ltd
Follow You need to be logged in order to follow users or courses
Sold
0
Member since
3 year
Number of followers
0
Documents
13
Last sold
-

0,0

0 reviews

5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

Recently viewed by you

Why students choose Stuvia

Created by fellow students, verified by reviews

Quality you can trust: written by students who passed their exams and reviewed by others who've used these notes.

Didn't get what you expected? Choose another document

No worries! You can immediately select a different document that better matches what you need.

Pay how you prefer, start learning right away

No subscription, no commitments. Pay the way you're used to via credit card or EFT and download your PDF document instantly.

Student with book image

“Bought, downloaded, and aced it. It really can be that simple.”

Alisha Student

Frequently asked questions